Contacts
Info
A Swahili podcast to spread knowledge and understanding that can make people live happily, freely, and healthy.
Success Path Podcast
Success Path Podcast
1 JUN 2020 · Dunia imetetemeshwa na janga la CORONA COVID-19 na kuleta maafa na athari kubwa sana sehemu kubwa. Lakini kila tatizo huwa linakuja na elimu au funzo ndani yake na bila shaka katika janga hili la CORONA COVID-19 sisi tunalo jambo la kujifunza na sio moja. Mimi nimekuandalia mambo sita, ningependa nawe uniambie mengine ambayo wewe umeyaona. Karibu:
23 MAY 2020 · Wito wangu ni kwamba kamwe tusisahau afya kwa haswa ndio utajiri wa kwanza na mengine yote yatafuata.
22 MAY 2020 · Napenda nikukaribishe katika channel yangu ya youtube ambako natoa masomo mengi ya maisha yenye malengo ya kutufanya tuishi kwa furaha, afya na uhuru zaidi.
Inatwa SUCCESS PATH NETWORK utaipata kwa ku-click hapa http://youtube.com/ezdenjumanneÂ
Karibu sana.
A Swahili podcast to spread knowledge and understanding that can make people live happily, freely, and healthy.
Information
Author | Ezden |
Organization | Ezden |
Categories | Self-Improvement |
Website | youtube.com |
successpathnetwork@gmail.com |
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company