Info
Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You" We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
show more
Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You"
We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
show less
We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
1 DEC 2022 · leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
6 SEP 2020 · Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
15 AUG 2020 · Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
15 AUG 2020 · Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
30 DEC 2019 · Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako
28 DEC 2019 · Ikiwa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa na kutazamia kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, je kuna mabadiliko tunayoweza kuyarajia? Tume huru ya uchaguzi yaweza kupatikana?
9 DEC 2019 · Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo
8 DEC 2019 · Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia
Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You" We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
show more
Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You"
We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
show less
We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
Information
Author | Father Monduli |
Organization | Father Monduli |
Categories | Personal Journals |
Website | - |
- |
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company