Contacts
Info
IBT ADVENTIST SOUND
MASOMO YA SABATO
MASOMO YA SABATO
-
MASHITAKA YALIYOBUNIWA NA NJAMA ZILIZOPANGWA ILI KUMUUA YESU
30 AUG 2022 · Mathayo 26:3-4 -
MATOKEO YA DHAMBI YA KUZUIA UJIRA WA MTU
15 APR 2022 · MWANZO 29:1-35 YAKOBO 5:4 -
SHERIA YA MUNGU
2 FEB 2022 · Amri 10. Kutoka 20:1-17 -
NJIA NIPITAYO
1 FEB 2022 · MITHALI 14:12. Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu lakini mwisho wake Ni njia za mauti. -
NJIA MBILI MBELE YETU
28 JAN 2022 · MATHAYO 7:13-14. -
UPENDO WA KWELI
27 JAN 2022 · 1WAKORINTHO 13:4-7 *Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; [5]haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; [6]haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; [7]huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote." -
USHIRIKIANO WETU NA ULIMWENGU
26 JAN 2022 · "Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?" 2 Wakorintho 6:14
IBT ADVENTIST SOUND
Information
Author | IBT ADVENTIST SOUND |
Categories | Religion |
Website | www.ijueblia.com |
malatafrancis1@gmail.com |
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company