Yajayo yanafurahisha
May 6, 2018 ·
11m 22s
Download and listen anywhere
Download your favorite episodes and enjoy them, wherever you are! Sign up or log in now to access offline listening.
Description
Teknolojia imefanya maisha yawe mazuri, mepesi na kufurahisha sana. Leo daktari akiwa nyumbani kwake anaweza kumfanyia diagnosis mgonjwa aliye kwake, kiziwi anaweza kuwasiliana na watu wengine kwa kuchomekewa kifaa cha...
show more
Teknolojia imefanya maisha yawe mazuri, mepesi na kufurahisha sana. Leo daktari akiwa nyumbani kwake anaweza kumfanyia diagnosis mgonjwa aliye kwake, kiziwi anaweza kuwasiliana na watu wengine kwa kuchomekewa kifaa cha wireless kinachomwezesha kusikia, tunaweza kula, kuvaa, kusafiri, kukutana, kuuza na kununua kwa kusukuma tu kitufe cha simu. Maisha yamebadilika sana ukilinganisha na miaka 15 iliyopita, lkn je ni kweli maisha ya siku za baadae yanafurahisha kama tunavyoaminishwa?? Je kuna mtu atabaki salama??, je kuna makampuni yatabaki salama??, vipi kuhusu baadhi ya nchi masikini kama TZ??
show less
Information
Author | Robhin Thomas Edson |
Organization | Robhin Thomas Edson |
Website | - |
Tags |
-
|
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company