Explicit

Mvutano Baina Ya Yericko Nyerere Na Kigogo2014

Sep 20, 2019 · 4m 42s
Mvutano Baina Ya Yericko Nyerere Na Kigogo2014
Description

Pamekuwa na mvutano katika mtandao wa Twitter baada ya kigogo2014 kusema kwamba mheshimiwa Mbowe amefanya ifisadi kwenye ruzuku za chama cha chadema Pia akatokea yericko kutaka kuona hizo document zinazoonesha...

show more
Pamekuwa na mvutano katika mtandao wa Twitter baada ya kigogo2014 kusema kwamba mheshimiwa Mbowe amefanya ifisadi kwenye ruzuku za chama cha chadema Pia akatokea yericko kutaka kuona hizo document zinazoonesha ufisadi wa mheshimiwa mbowe Ikaenda mbali zaidi yericko kasema kigogo2014 anambwela maana toka mabadiliko yatokee mwandiko wake wa tweet ni kama wa vijana wa ACT- Wazalendo na kudai amesha mjua kigogo ni nani hivyo bado malumbano yanaendelea kwa kuwa hakuna anayemjua real kigogo ni nani Watu wengi wameshangwa na kwa nini kutangaza mgombea wa chama cha chadema bila kufuata taratibu maana mda wa kumtambulisha mgombea bado
show less
Information
Author Father Monduli
Organization Father Monduli
Website -
Tags

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Podcast Cover

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search